Wednesday, November 04, 2009

GARI HII INAUZWA!!!







TOTOTA COROLLA-SPRINTER

YEAR : 1996

KILOMETERS :83,000

CONDITION:EXCELLENT


INA RADIO YA DVD + TV SCREEN NA RIM SPORTS.


BEI NI MILIONI 6


MAZUNGUMZO YAPO.


MAWASILIANO: MAC TEMBA 0715 000 890 or mactemba@hotmail.com

MO DEWJI AKISUGUA KISIGINO TWANGA!!!




Monday, October 26, 2009

ITS AMAZING NICE CAR BUT HOUSE......


Sunday, October 25, 2009

YANGA AFRICA YAILAZA MORO UNITED



YANGA AFRICA LEO WAMEMPA FURAHA YA KWANZA KOCHA WAO MPYA PAPIC AKA CLINTON KATIKA UWANJA WA TAIFA...BIG UP YANGA AFRICA

VODACOM YAJA NA PROMOTION YA CHEKA TIME



MKUU WA KITENGO CHA UDHAMINI CHA VODACOM,AKIWA NA BONIFACE EMMANUEL PAMOJA NA MKUU WA KITENGO CHA VODACOM FOUNDATION MISS MWAMVITA MAKAMBA.



BONIFACE EMMANUEL AKIWA NA MWAMVITA MAKAMBA PAMOJA NA ELIHURUMA NGOWI WAKIWA NA MABANGO YA PROMOSHENI HIYO.

DAVID NGOG SCORES IN 90 MINUTES...



MANCHESTER UNITED 0 LIVERPOOL 2

CHECK OUT THE PROFILE OF THE BOY WHO MAKE MANCHESTER FANS GO TO HELL IN THIS SUNDAY.

Striker David Ngog arrived from Paris Saint Germain for a fee of £1.5million in the summer of 2008.
Despite only scoring one goal in 18 league appearances for PSG during the 2007/08 season he has been described as one French football's hottest young talents.

The quick striker has been prolific in the French U19s, and below, and scored a couple of goals during pre-season for Liverpool.

Ngog is the cousin of France defender Jean-Alain Boumsong.

TORRES SCORES A GOAL IN 65 MINUTES


Fernando Torres was named in the Liverpool starting line-up to face Manchester United and the Spaniard has put his side 1-0 up at Anfield, producing a superb finish from a Yossi Benayoun pass.

MAN UTD & LIVERPOOL WAR...THIS SUNDAY




HIVI SASA NI DAKIKA YA 30 BADO BILA BILA NANI KUIBUKA LEO KIDEDEA!!!WAZEE WA BWAWA LA MAINI AU WAZEE WA OLD TRAFORD....SOON UTAPATA MATOKEO

Five-star Chelsea hammer Rovers


Chelsea gave Carlo Ancelotti a perfect tonic as they soared back to the top of the Premier League with a 5-0 demolition of Blackburn at Stamford Bridge.

Thursday, October 22, 2009

MPINZANI WA FALLY IPUPA KUJA BONGO NOVEMBA




MWANAMUZIKI mahiri wa Kongo, Ferre Gola Bataringe anatarajiwa kuwasili nchini mwezi ujao kwa onyesho moja la muziki litakalofanyika mjini Dar es Salaam.

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Udhamini na Matukio wa kampuni ya New Habari (2006) Limited, Petter Mwendapole alisema mjini Dar es Salaam jana kwamba mwanamuziki huyo atambatana na kundi la wanamuziki 17.

“Ferre atakuwepo hapa mwezi ujao kwa onyesho moja la muziki baada ya hapo atakwenda Burundi na Rwanda kwa ajili ya onyesho moja moja katika nchi hizo,” alisema.

Mwendapole alisema maonyesho ya Rwanda na Burundi yatakuwa maalum kwa ajili ya kuzindua uuzaji wa tiketi za bahati nasibu ya shindano la Miss East Africa.

Katika msafara huo pia watakuwepo wanenguaji wa kike watano ambao ni Sabena wa Kayembe, Vick Moleka, Nancy Mbemba, Renate Kunga na Patricia Isako.

‘Kuhusu tarehe ya onyesho na wapi onyesho litafanyika, tutatangaza siku ambayo tunatangaza mdhamini mkuu wa onyesho hili ambalo ni la kwanza Ferre kufanya peke yake Tanzania…hii pia ni ziara ya kwanza kwa Ferre kwa Afrika Mashariki tangu ajitoe Quarter Latin Internationale ya Koffi Olomide,” alisema.

Kabla ya kuanzisha bendi yake, Ferre aliwahi kupigia bendi ya Wenge Musica BCGB ambapo alikuja nayo nchini mwaka 1997, baadaye akabaki na kundi liliunda Wenge Maison Merre ya Werrason iliyomeguka kutoka BCBG akatembelea tena mwaka 2000.

Kisha akajiondoa na kuanzisha Le Marquizer de Maison Merre akiwa na repa Bill Caludji Clinton na Baby Ndombe, kabla ya kuchukuliwa na Koffi Olomide. Kwa sasa anatamba na albamu zake Sens Interdit, Lubukulumu na Queist Derrierur Toi yaani nani yuko nyuma yako ambayo ni albamu yake mpya.

DAAH HII NI NOMA!!!



ONA HUYU BWANA SHAMBA AKITOA MELEKEZO KWA MKULIMA...TEHE KILIMO KWANZA!!!

Wednesday, October 21, 2009

MDAU AKIWA KAPOZI NA MWANAE KIGANE-SHARON



MDAU YESAYA AKIWA KAPOZI NA MWANAE SHARON....THATS GREAT TO SPEND TIME WITH YA BABY NO MATTER HOW BUSY YOU ARE!

HUU NI UNYAMA SANA KWA MTOTO HUYU




KAMA ULISIKILIZA VIZURI LEO TENA NA DINA MARIOUS CLOUDS FM KIPENGELE CHA HEKAHEKA NA GEA HABIB, HUYU NDIYE MTOTO SIMULA MAGATHI (MIEZI 5) WA MKOANI MARA ALIYEKATWA VIGANJA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA NA MTU ASIYEJULIKANA KISA VINA MICHORO YA MIKUNJO HERUFI M. AKISIMULIA TUKIO HILI BIBI WA MTOTO HUYU NYAPAMBA MAGATHI AMESEMA ILIKUWA NI KTK SHUGHULI ZA MAISHA AMBAPO ALIMWACHA AKIWA AMELALA HUKU MTOTO MWINGINE MKUBWA AKICHUNGA NYUMBA ALIPOREJEA AKAKUTA CHUMBA KIMEJAA DAMU NAKUJIONEA KILICHOTOKEA ASIJUE KIMETENDEKA VIPI, ALIYE FANYA UNYAMA HUU MPAKA SASA HAJAPATIKANA NA HAKUNA JUHUDI ZOZOTE ZINAZOFANYWA NAJESHI LA POLISI KUPELELEZA HATIMAYE MBAYA KUBAINIKA. "INATISHA INAHUZUNISHA" MTOTO SIMULA MAGATHI ANAISHI NA BIBI YAKE KWANI MAMA MZAZI WA MTOTO HUYU NYASATO SIMULA NI MGONJWA WA AKILI AKIPATIWA MATIBABU HOSPITALI YA MKOA WA MARA. PICHANI MTOTO SIMULA MAGATHI AKIWA USINGIZINI NDANI YA HOSPITALI KUU YA MKOA WA MARA AMBAPO ANAPATA MATIBABU. UNYAMAGANI HUU.

JAMII TUKEMEE UONEVU HUU.....JAMANI INASIKITISHA SANA!!!!

Friday, October 16, 2009

MTV MAMA AWARDS PIX-2009



Presenter Wyclef Jean stage dives at the MTV Africa Music Awards (MAMA AWARDS)



HHP accepts the trophy for Best Video at the MTV Africa Music Awards (MAMA AWARDS)



MSANII WA KENYA BINTI AMANI AKIWA KATIKA TUZO ZA MAMA,AMANI ALIPATA TUZO YA BEST FEMALE ARTIST...BIG UP AMANI




AMANI IN ACTIONS IN MAMA AWARDS




AKON AKIWAPA BURUDANI WAPENZI KATIKA TUZO ZA MAMA JIJINI NAIROBI WIKI ILIYOPITA...BIG UP SON OF AFRICA

Tuesday, October 13, 2009

HII IMETULIA!!!!



HUYU NI SHABIKI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA AKIWA ANASAINIWA KWENYE CAP YAKE NA KING OF HIP HOP BONGO JOH MAKINI KWENYE FIESTA MWANZA!!!

Monday, October 05, 2009

VODACOM MISS TANZANIA-2009



FOR SURE ANAYEBISHA BASI MCHAWI...HUYU BINTI ALIKUWA NA KILA SABABU ZA KUSHINDA...WA UKWELI,MPOLE NA KAENDA HEWANI KI UKWELI!!!HUYU NI MIRIAM

MISS TANZANIA PIXS



My best photo for miss Tanzania 2009


its very true that THT wanafunika mbayaaaaaaaaa...big up Rebecca Young for the creativity!!!

Mhhh Ray C kwakweli hakuni impress kabisa as if alikurupuka kuja kufanya show ya miss tanzania...Next tyme jipange sisy utazidi kupotea!!!!



This boys from Uganda are now hot in East africa....

Friday, September 18, 2009

VODACOM BUSINESS YAFUTURISHA WATOTO YATIMA WA CHAKUWAMA –SINZA MORI







Katika utaratibu wake wa kila mara kampuni ya simu za mikononi Vodacom Tanzania kupitia kitengo chake cha Vodacom Business jana ilifuturisha watoto katika kituo cha kulelea watoto yatima CHAKUWAMA kilichopo Sinza Mori jijini Dar es salaam.
Akizungumza mara baada ya futari hiyo mratibu wa shughuli za kituo hicho kutoka Vodacom Edwin Temba aliwataka watoto hao kujiamini katika mambo yao mbalimbali wanayoyafanya kwani kujiamini kwao kutawafanya kushinda matatizo yoyote yatakayowakabili, Edwin aliongeza kwamba wao ni sawa na watoto wengine, kwani wanaweza kuwa wa kwanza kimasomo shuleni lakini pia wanaweza kuwa wa mwisho kimasomo hivyo kufanya vizuri kwao kutategemea jitihada zao katika masomo.
Naye mfanyakzai mwingine kutoka Vodacom Esther Mattle aliwaambia watoto hao kuwa Rais wa nchi hii Mh. Jakaya Kikwete alikuwa mtoto kama wao, lakini alikuwa msikivu kwa wazazi wake na watu wazima ndiyo maana akafikia mafanikio hata kuwa rais wa nchi hii, hivyo akawataka watoto hao kuzingatia yale yote wanayomabiwa na watu wazima pamoja na walezi wao, Vodacom pia walikabidhi zawadi mbalimbali kwa watoto hao ikiwa ni pamoja na unga, mafuta ya kupikia, sabuni na vifaa vya kuchezea watoto.

Monday, September 07, 2009

MAPOZI... SEAN AKA PUFF COMBS






NI UKWELI USIOPINGIKA HUYU NI KIJANA WA UKWELI FULL IN BUSINESS,HE GOT IMAGE AND VISION IN MAKING MONEY...HE OWN BAD BOY ENTERTAINMENT LABEL AND CLOTHING LINES TOO...THIS IS MY INSPIRED PERSON AS WELL AS MY ROLE MODEL IN BUSINESS.

MY FAMILIA....




ME & MY WIFE AS WELL MY CUTE BABY SAMANTHA!!!WADAU THIS IS MY FAMILIA

WADAU MJENGONI PPF TOWERS



WADAU MAC TEMBA,PROTAS SHAYO NA MUDDY KARAMBO WAKISHOW LOVE MJENGONI!!!

Friday, August 28, 2009

THE NEW BLOG 4 DIVA'S...LADIES-CHAT.BLOGSPOT.COM




HELLO WADAU NAOMBA KUMU ENDORSE MDAU MPYA TAMALI CHARLES....KWENYE ULIMWENGU WA BLOGS...HII ITAKUWA BLOG YA MA DIVA KUCHAT NA KUSIMULIANA MAMBO MBALIMBALI IN MAHUSIANO NA MAISHA AS WELL...

KARIBUNI MTEMBELEE HAPA www.ladies-chat.blogspot.com


BIG UP BABY GAL!!!

Wednesday, August 19, 2009

HEBU ONA TAXI DREVA HUYU!!!



HEBU CHECK DEREVA TAXI HUYU WA TEMEKE.

Tuesday, August 18, 2009

BIG PROTAS WITH HASHEEM.....



EBWANA HAPA MDAU WA VTL PROTAS SHAO AKA MTEI AKIWA AMEPOZI NA MCHEZA KIKAPU MTANZANIA WA TIMU YA MEMPHIS GLAZERS HASHEEM THABEET.....BIG UP PROTAS

Monday, August 17, 2009

CELEBRITIES NA FAMILIA ZAO...SO NICE



Terence Howard and his 3 children Hunter, Aubrey and Heaven


Snoop and wife Shante with their 3 kids, Corde, Cordell, and Cori. Pictures sourced through: Google images.



Madonna and her kids. Lourdes Maria Ciccone Leon (Father: Carlos Leon) Rocco Ritchie (Father Guy Ritchie), adopted son, David Banda and soon to join the family, Mercy



Jamie Foxx and his daughter Corrine.



Faith Evans has four children:a daughter named Chyna,15, with music promoter Kiyamma Griffin, a son named Christopher Wallace Jr with the late Christopher Wallace a.k.a Notorious B.I.G; sons Joshua and Ryder are with her husband Todd Russaw.



Brad Pitt and Angelina Jolie. They have 3 biological and 3 adopted kids together; Maddox Chivan, Zahara Marley, Shiloh Nouvel, twins Knox Léon, and Vivienne Marcheline.



Will Smith and Jada Pinkett-Smith with the kids, Willard Christopher ’Trey’ Smith III (mother: Sheree Zampino), Jaden Christopher Syre Smith and Willow Camille Reign Smith



BREAKING NEWS.....ZOMBE NA WENZAKE HURU


MITAA YA SLIPWAY JANA JIONI....

Sunday, August 16, 2009

MY BEST BANGO KWA MWEZI HUU WA 8


HILI NI BANGO LA BANK M KI UKWELI NI ZURI NA LINAFIKISHA UJUMBE SAHIHI...MTOTO HUYU ANA MIAKA MIWILI BUT ANA AKIBA YA BILIONI 100.....BIG UP BANK M

MTIBWA BINGWA WA NGAO YA VODACOM



Thursday, August 13, 2009

LEO MWANANGU KAFIKISHA MIEZI 2......THX GOD





LEO HII MWANANGU SAMANTHA KAFIKISHA MIEZI MIWILI...ITS SO AMAZING!!!THANKS TO MY WIFE FOR THE GOOD CARE...I LOVE U ALL

Thursday, August 06, 2009

FM YAJA NA DVD YA UTAMU WA VANILLA!!!


Hii ndiyo Live DVD ya wana FM ACademia watoto wa mujini inayoitwa world No.0 Utamu wa Vanila itakayozinduliwa agosti 9 ukumbi wa Msasani Club jijini Dar es salaam ambapo kutaporomoshwa bonge la burudani kutoka kwa vijana hao wataalam wa kupika chakula aina ya Zombo na Matembele jukwaani nyote mnakaribishwa kuona mambo yao makubwa na kujipatia hizo DVD


STORY BY:FULLSHANGWE BLOG NA MDAU JOHN BUKUKU

VODACOM YAZIDI KUGAWA MADAWATI


KIMORA LEE N' WITH FAMILY!!!

Monday, August 03, 2009

BEST PIX OF WAREMBO!!!



UNAMJUA DIVA HUYU!!!

MY BABY SAMANTHA PIX


LETS VOTE FOR MWANA FA


Tanzanian Bongo Flava artist Hamis Mwinjuma aka MwanaFA has been nominated by Channel O Music Awards Which is gonna be held in Johannesburg South Africa on 29th October 2009,
His video track name NAONGEA NA WEWE featuring AY has been nominated into two categories.The Most Gifted Group (DUO) and The Most Gifted East African Video.
MwanaFa and Ay they begging you to vote so as they can win awards.Its obviously they can,and by winning this they’ll put up Bongo flava to the map.Take your time and remember you are vote for our country and our musics.
HOW TO VOTE
To vote, MWANAFA The Most Gifted or Duo must SMS 4E to +27839208400
To vote, MWANAFA The Gifted East Africa Video must SMS 13B to +27839208400 (International SMS rates apply)
or vote on http://www.channelo.tv (web). Is where you can vote
You can vote as many as you want!

Regards;
MwanaFA & AY…

ONA BUSARA YA KP LEO

Tuesday, July 28, 2009

WANAFUNZI WA SHABAN ROBERT WAFANYA MAMBO!!!


Wanafunzii wapatao 50 wanaosoma katika vidato mbali mbali ndani ya Shaaban Robert Secondary School, waliweza kupagawisha wanafunzi wenzao, ndugu, jamaa na wazazi kadhaa waliojitokeza kushuhudia usiku wa vipaji siku ya jumamosi ya tarehe 18 mwezi wa 7 2009 katika ukumbi wa sherehe wa shule hiyo

PICHA KWA HISANI YA BONGO 5.COM

Saturday, July 25, 2009

LEO NDIO LEO ..ZHONG HUA GARDEN...WENGE MUSICA SPECIAL

Ebwana eeh ka wale vijana wa enzi zetu enzi za Wenge musica,enzi za Tazara ,enzi za Silent inn club mwenge na wengineo wengi leo ni leo maana Dj Rankim ramadhana atawasha moto mkali sana kwa kukumbusha watu enzi zile za kundi hili ambalo liliweza kuweka historia kubwa africa kama The jackson 5...tukutane pale leo jioni kama kawa tupate burudani za ukweli.....wadau

MO ROCCA NDIE DAR MOST SEXIEST BOI

Kijana kutoka kundi la The Roccaz akienda kwa jina la Mo Rocca ndie ameibuka na ushindi katika shindano la Dr most sexiest man,Big Up to ya boi

Much love to Diva for sucha a different taste....Pamoja sana.

THIS IS JOHN ALLAN NAMU..CNN BEST JOURNALIST-2009


John-Allan Namu, from Kenya, has been awarded the top prize at this year’s CNN MultiChoice African Journalist 2009 Awards Ceremony.John-Allan, reporter for Kenya Television Network, won for his stories ‘In the shadow of the Mungiki’ and ‘Inside Story: Scars and Sufurias’, which were chosen from among 1665 entries from 38 nations across the African continent.John-Allan was one of 25 finalists at the Awards ceremony on Saturday evening and was a winner in two categories, the Television News Award and Television Features Award. This is a first in the history of the competition.The Awards, which rotate location each year in tribute to their pan-African credentials, returned to South Africa in 2009 and were held at a Gala ceremony hosted by CNN and MultiChoice at The International Convention Centre, Durban this evening, Saturday 18th July.Tony Maddox, Managing Director, CNN International and Nolo Letele, CEO, MultiChoice South Africa, presented John-Allan with the Award.John-Allan Namu said: “I feel immensely honoured. I never thought this would happen. This goes to show anyone from any walk of life can stand among giants.”Chairperson of the judging panel, Azubuike Ishiekwene, Executive Director, Punch Nigeria Limited said: “The reporter went beyond the surface, stripped the stereotype and combined sound, images and research to bring new insight and meaning to the story.
STORY FROM FULLSHANGWE BLOG.

Monday, July 20, 2009

THE SEAN COMBS AKA P-DIDDY



Sean Combs akiwa na mke wake Kim porter
hapa akiwa na jeniffer lopez

Friday, July 17, 2009

SHOW LOVE...ITS FRIDAY!!!

Mdau with my wedding maids..i missed u all,Janeth,Nanyorii,Madawa,as well as Maggie
Isha in serena hotels-zenji say hi to all....


My wife says hi to all.......

Jay moe says hi to all Wabakiaji aka wateule....




Ibra da Hustla with lord eyez of N2N says hello to all soldiers!!!



REMEMBER DEPLOMATZ...STIGO

He goes with the name Stigo mmoja kati wa vijana wa kundi la Deplomatz enzi za Tambaza....duuu long tyme sana....huyu jamaa ndio prodyuza anyefanya album ya kumi ya Sugu aka Mr 2 itakaitwa VETO huko Mtoni....waiting for new touchez Stigo...

FALLY IPUPA DI CAPRIO...DELLA PEEEE

Kijana wa ukweli toka Congo anaitwa Fally ipupa di caprio della pee fummu na bao ambaye anakuja na album yake mpya inayoitwa Arsenal de belles melodies.........Big up fally

Thursday, July 16, 2009

HUYU NDIO ABBA SEDOU...THE SEXIEST MAN IN DAR


HUYU NDIO CHAGUO LA WANA BLOG HII....ENDORSED BY THE EDITOR ON BEHALF OF MY FANS.

COWBOI NGWEA AJA NA CNN...TOKA BONGO RECORDZ

He goes by the name Cowboi aka Ngwea a simple man but balaa,amekuja na ujio mpya wa Bongo Recordz chini ya kichwa mahiri cha Hip hop hapa bongo nowadays Producer Q...ebwana huo wimbo umesimama sana maana Ngwea amebadilika sana kwa ku rap na kuimba...

Big up to mwana chemba na tundelee kukesha kama CNN,speed zaidi ya KLM na kula bata kama kawa!!!!

Wednesday, July 15, 2009

MTAZAMO WANGU BLOG ENDORSED ABBA SEDOU

Ndugu wadau wa blog hii pendwa naomba kwa idhini yenu nimu endorse kijana Abba Sedou huyu ili apigiwe kura na wapenzi wote wa blog hii kama the most sexiest man in dar...please vote for him in www.diva255.blogspot.com .

Lets support each otha na huyu ndio chaguo letu kwa shindano hili..........


The Editor

Mac Temba Jr

email me : mtazamowangu@gmail.com

Wednesday, July 08, 2009

BABY SAMANTHA PIX

Little Samantha mary Temba
my baby samantha sleepin...

Baby samantha chillin......


VODA KIJIJI YAFUNIKA 77 MWAKA HUU

Washiriki wa BSS mwaka huu wakicheza mchezo wa bowling katika kijiji cha Vodacom pale sabasaba.
Afisa Bidhaa wa Vodacom Tanzania Mr Danny Kijo akiwapa maelekezo washiriki wa mwaka huu wa Bongo star search walipotembelea Voda kijiji wiki iliyopita.

Wednesday, June 17, 2009

VODACOM WASHEREKEA SIKU YA MTOTO WA AFRICA PALE CHAKUWAMA- SINZA

Mdau akitoa shukrani kwa watoto wa chakuwama....
Wadau wa Vodacom wakiwa wamepozi jana kituoni Chakuwama....
Mmoja kati ya watoto wa Chakuwama akipozi kwa picha jana mchana.
Pichani ni mdau wa blog hii pamoja na mtoto mrembo wa pale Chakuwama jana...it was full of fun.
Watoto wakifurahia mambo ya vodacom jana pale kituoni....

SIKU YA MTOTO WA AFRICA NA CHAKUWAMA

Mikonoz wadau.... nikiwa na marafiki zangu watoto wa chakuwama jana mchana.
Mdau Melinda wa Vodacom akiwa kituoni Chakuwama jana kusherekea siku ya mtoto wa Africa na yatima wa pale kituoni.
Wafanyakazi wa Vodacom kitengo cha Corporate solutions wakiwa pamoja na baadhi ya watoto wa Chakuwama jana katika kusherekea siku ya mtoto wa Africa.
Mdau wa blog hii akiwa na Mohd karambo na dada Somoe wakipata chakula jamvini jana...kitu cha pilau na soda kangaaaaaa!!!!
Mdau kutoka Vodacom Mohd Karambo akijiandaa kuondoka baada ya kula chakula na watoto wa chakuwama pale Sinza jana
Watoto wakila chakula kilichoandaliwa na wafanyakazi wa Vodacom kitengo cha Corporate Solutions
Wadau wa Vodacom wakipakua chakula jana mchana,pichani Mohd karambo na mdau Simon martin
watoto wazuri wa chakuwama sinza
mdau wa blog hii akiwa na watoto wa Chakuwama jana hii ilikuwa ni kusherekea siku ya mtoto wa Africa.
watoto wazuri wa Chakuwama jana mchana kwenye maazimisho ya siku ya mtoto wa Africa.

Saturday, June 13, 2009

OOH GOD THANK YOU SO MUCH!!!

Pichani hapo chini ni Mke wangu Zai aka Tamary akiwa na princess wetu

Jumamosi tarehe 13 juni,2009 saa 3;45 asubuhi mke wangu mpendwa alijifungua mtoto wa mzuri wa kike wa kwanza katika familia yangu...namshukuru mungu sana kwani mama na mtoto wapo na afya njema,mtoto alizaliwa kwa operesheni na ana uzito wa kilo 4.5

mungu awabariki wote mliotuombea kwa mungu na mungu awazidishie.

Big up kwa marafiki wetu wote....najua wadau mna hamu ya picha nyingi soon zinakuja.

Saturday, June 06, 2009

HAWA NI MASSAWE NA KIMARIO AKA AY & FA

Hayo majina hapo wanayoitwa maana yake ni kwamba katika muziki wetu hapa bongo hawa ni kama wachaga katika biashara thats wana focus kwenye mafanikio na kutengeneza hela hela zaidi ya maneno mengi na bifu za kijinga ....big up guys im supporting you full.....

MY BROTHA CHIEF ROCCA IN OHIO

My brother edgar aka Chief Rocca chillin with his boy austin in Ohio,Columbus....Much love to ya alll

THE CHEMBA SQUAD NA MDAU WA BLOG HII

Geez mabovu,darkie Master na Cowboi Albertino mangwea wakiwa wamepozi na mdau wa blog hii.....Show love

Monday, June 01, 2009

LOVE MESSAGE TO MY WIFE AKA MY BEST FRIEND


I love you because, not only for what you are, but for what i am when am with you.
I love you not only for what you have made of yourself but for what you are making of me, I love for the part of me that you bring out, I love you for reaching out and touching my heart, and passing over all the foolish weak things that you cant help simply seeing there ,and for drawing out into the light all the beautiful belongings that no one else had looked quite far enough to find. I love you because you are the reasons for all my tomorrows. Your love makes my life complete.
I cannot promise that I will not hurt your feelings sometimes. And I can not promise that will always be strong, . But I do promise that I will always be supportive of you. I will share all my thought, sad feelings with you. I do promise that I will understand everything that you do and be completely honest with you.
I do promise that I will laugh and cry with you. I do promise that I will help you achieve all your goals. But most of all I do promise that I will love you with all my heart until my dying day.

With you we can make all with God Blesses!!!

Thursday, May 21, 2009

UNAKUMBUKA ENZI ZAO HAWA....DAZ NUNDAZ

Hizi zilikuwa enzi za mafanikio makubwa ya vijana hawa wa Sinza wa Familia ya Daz Nundaz,hawa ni Feroos na Daz baba wakiwa wamepozi,nowadays hawaongei na amani haipo tena.

ANGELA THE BEST MC IN TOWN

Hapa tukiwa na Mc alipendezesha harusi yetu Da Angela Bondo...For sure this Mc is the best in town...Big up Angela and keep it up entertaining.